Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (Kushoto), akiwasili nchini
Rwanda, na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini humo,
(IGP) Emmanuel K. Gasana (Kulia) wakati akiwa katika ziara ya kikazi ya siku
moja jana, yenye lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa
pamoja katika kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa
lengo la kukuza uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu, Kushoto akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa
Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, wakati akiwa katika
ziara ya kikazi ya siku moja nchini humo jana, yenye lengo la kuimarisha
mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti uhalifu na
wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina ya nchi
zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (mbele kushoto) akitoa neno mbele
ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana, pamoja na
ujumbe alioongozana nao nchini humo jana, katika ziara ya kikazi yenye lengo la
kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika kudhibiti
uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza uchumi baina
ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania, (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akimsikiliza mwenyeji
wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana,
akitoaneno mbele ya wajumbe
kutoka Tanzania (hawapo pichani) IGP Mangu, yupo nchini Rwanda, kwa ziara ya
siku moja yenye
lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza
uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (kulia), na
mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K. Gasana,
wakibadilishana hati ya makubaliano yenye mkakati wa kuhakikisha nchi zote
mbili ya Tanzania na Rwanda, zinakuwa salama hususan maeneo ya mipakani na hata
kwenye barabara zote zinazotumiwa na wafanyabiashara, IGP Mangu, pamoja na
ujumbe wake amefanya ziara ya kikazi nchini humo jana.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akipokea zawadi kutoka
kwa mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, mara baada ya kuitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja jana, yenye
lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza
uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania (IGP) Ernest Mangu (kushoto), akipokea zawadi kutoka
kwa mwenyeji wake Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Rwanda, (IGP) Emmanuel K.
Gasana, mara baada ya kuitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja jana, yenye
lengo la kuimarisha mahusiano, kushirikiana na kufanyakazi kwa pamoja katika
kudhibiti uhalifu na wahalifu hususan maeneo ya mipakani kwa lengo la kukuza
uchumi baina ya nchi zote mbili ya Tanzania na Rwanda. (Picha
zote na Demetrius Njimbwi- Jeshi la Polisi Tanzania)
No comments:
Post a Comment