Waziri wa katib na Sheria, Harrison
Mwakyembe amepiga marufuku kufungisha ndoa bila ya wanandoa kuwa na vyeti vya kuzaliwa.
Waziri
Mwakyembe amesema ni marufuku
kwa sheikh, Ustadhi, Mchungaji
au Padri
kufungisha ndoa bila
ya wahusika kuwa na vyeti vya
kuzaliwa.
Aidha,
aliwataka wakuu wa wilaya
kusimamia agizo hilo ili kila mtu
awe na cheticha kuzaliwa kabla ya
kufunga ndoa.
Aliongeza kwakusema kuwa hilo ni agizo linapaswa kutekelezwa na kwamba
utekelezaji wake utaanza
rasmi tarehe 01 May 2017 nchi
nzima.
No comments:
Post a Comment