Mkuu
wa wilaya ya Bagamoyo anawakumbusha wananchi wote na viongozi kuwa,
Tarehe 03. January. 2017 ni siku ya mikutano mikuu ya kusoma mapato na
matumizi ktk kila kijiji na kitongoji kwa wilaya nzima ya Bagamoyo.
Ni matarajio yangu
kila mwananchi atashiriki vyema ili kutoa maoni na maamuzi ya maendeleo ktk
wilaya yetu.
Maafisa Tarafa, watendaji kata na vijiji timizeni wajibu wenu ktk
kusimamia mikutano na mkumbuke huu ndio
"Uongozi Unao Acha Alama"
"Uongozi Unao Acha Alama"
TANGAZO HILI
LIMETOLEWA NA MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO. MAJID MWANGA.
No comments:
Post a Comment