Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katikati akiongoza Viongozi na Wananchi
mbalimbali katika Tamasha la Sita la matembezi na mazoezi ya viungo lililoanzia
Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto
Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja.
Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo alipotoa hotuba katika Tamasha
la Sita la Matembezi na mazoezi ya viungo lililoanzia Ukumbi wa
Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto Kariakoo,Matumbaku
na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja. Ikiwa ni Shamra
shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katikati akiongoza Viongozi na Wananchi
mbalimbali katika Tamasha la Sita la matembezi na mazoezi ya viungo lililoanzia
Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto
Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja.
Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vikundi mbalimbali vya mazoezi vikipita eneo la
Michenzani kisonge katika Tamasha la Sita la mazoezi ya viungo lililoanzia
Ukumbi wa Sheikh Abdulwakil,Michenzani,Uwanja wa kufurahishia watoto
Kariakoo,Matumbaku na kumalizia Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja.
Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment