Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi
Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya Makamishna wa Idara ya Uhamiaji(waliosimama). Wa pili toka kushoto ni
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala(wa pili toka kulia
ni Kamishna wa Uhamiaji – Zanzibar, Johari M. Sururu(wa kwanza
kulia)ni Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda-TRITA, Kamishna Maurice Kitinusa(Picha
zote na:- Kitengo
cha Uhusiano Chuo Cha Uhamiaji cha Kikanda-TRITA Moshi, Kilimanjaro).
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi
Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira (Katikati) akiongoza Kikao kazi cha
Viongozi Waandamizi wa Idara ya Uhamiaji (hawapo pichani). Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna
Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala(wa pili toka kulia) ni
Kamishna wa Uhamiaji – Zanzibar, Johari M. Sururu(wa kwanza kulia) ni Mkuu wa
Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda-TRITA, Kamishna Maurice David Kitinusa(wa kwanza
kushoto) ni Kamishna wa Utawala na Fedha, Edward P. Chogero.
Maafisa Waandamizi wa Uhamiaji
wakifuatilia kwa makini hotuba ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter
Makakala(hayupo pichani)kwenye Kikao kazi hicho kama inavyooneka katika picha.
Kamishna wa Pasipoti na Uraia, Gerald Kihinga
akitoa ufafanuzi katika Kikao kazi cha Viongozi Waandamizi wa Idara ya
Uhamiaji mbele ya Katibu Mkuu Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira (hayupo
pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao hicho kilichofanyika hivi karibuni mjini
Moshi.
Kamishna wa Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka, Samuel
R. Magweiga akifafanua jambo kwa mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo
ya ndani ya Nchi Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira(hayupo pichani)
katika kikao hicho.
No comments:
Post a Comment