Mmoja
wa wanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake Bi. Judith Kadege akizungumza
katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye ofifi za taasisi hiyo Ilala
Bungoni.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi.
Athanasia Soka akikata keki pamoja na baadhi ya wanachama wa chama hicho katika
hafla fupi ya chama hicho kutimiza miaka 27 tamgu kilipoanzanishwa baada ya
kusajiliwa rasmi mwaka 1990 na kuanza kazi zake rasmi hapa nchini.
Chama hicho kimefanikiwa kuanzisha matawi yake katika mikoa ya Tanga,
Dodoma, Arusha, Mwanza pamoja na Dar es salaam na chama hicho kimeweza
kusaidia mamilioni ya watanzania hasa wanawake katika masuala ya msaada wa
kisheria katika unyanyasaji wa kijinsia na migogoro ya kifamilia hasa ndoa na
masuala mengine, hafla hiyo iliyofanyika ofisi za taasisi hiyo Ilala Bungoni.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka
akimlisha keki Mwanachama wa chama hicho Bi Mariam Mvano wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka
akilishwa keki na Mwanachama wa TAWLA Mariam Mvano wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka
akimlisha keki mwanachama wa TAWLA Judith Kadege.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka
akilisha keki mwanachama wa chama hicho Chaya Mlaki wakati wa hafla hiyo
iliyofanyika ofisi za taasisi hiyo Ilala Bungoni.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania TAWLA Bi. Athanasia Soka
akilisha keki mwanachama wa chama hicho Mariam Mungula wakati wa hafla hiyo
iliyofanyika ofisi za taasisi hiyo Ilala Bungoni.
Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA wakiwa katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment