Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Najma Giga
akiongoza kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Waziri
wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama
akiomba Bunge kutengua Kanuni zake na kuruhusu Bunge kuahirisha shughuli
zake saa kumi na mbili jioni ili kuruhusu wabunge ambao ni waumini wa dini ya
Kiislaamu kutimiza matakwa ya mfungo mtukufu wa Ramadhani unaotarajiwa kuanza
Jumamosi.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana,Ajira na Kazi Mhe. Anthony
Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini
na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Mhe.
William Ole Nasha Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Waziri
wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof Makame Mbarawa na Naibu wake
Mhe.Edwin Ngonyani wakijadiliana jambo katika kikao cha thelasini na nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Waziri
wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiwasilisha
Makadirio ya Maapto na Matumizi ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa
Fedha 2017/2018 katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Mhe. Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dk. Philip Mpango katika kikao cha thelasini na nne
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Waziri
wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Hussein Mwinyi akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na nne cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 25, 2017.
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mbeya Mhe. Mary Mwanjelwa akiuliza swali katika
kikao cha thelasini na nne chaMkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 25, 2017.
No comments:
Post a Comment