RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA DORALEH CONTAINER TERMINAL NCHINI DJBOUT

A 2
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi  Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (katikati) mara baada ya mapokezi alipotembelea  katika Bandari ya   Doraleh  Container Terminal  jana ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, alipotembelea  akiwa katika ziara maalum ya kiserikali nchini Djibouti akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
 unnamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi  Ukaguzi Nd.Mohamoud Houssein (wa pili kushoto) wakati  alipotembelea  katika Bandari ya Doraleh  Container Terminal jana,ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali  zinazowasili katuika Bandari hiyo,akiwa katika ziara ya kiserikali chini Djibouti na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
A 3
 Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Mashine  karika Bandari  ya   Doraleh  Container Terminal  jana  ambayo ni maalum kwa upokeaji wa Makontena kutoka kwenye meli mbali mbali zinazowasili katika Bandari hiyo, Dk.Shein yupo nchini Djibouti katika  ziara maalum ya kiserikali   akiwa na ujumbe aliofuanata nao,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
 A 4
Makontena yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na kuwekwa katika Bandari  ya   Doraleh  Container Terminal nchini Djibouti ambapo  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
 A 5
Mashine za kuchukulia Makontena katika meli zinazofunga gati katika  Bandari  ya   Doraleh  Container Terminal nchini Djibouti ambapo  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake  jana walitembelea eneo hilo akiwa katika ziara maalum ya kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.
 A 6
Makontena yenye mizogo mbali mbali yakiwa katika eneo maalum lililotengwa na kuwekwa Mizigo mbali mbali katika Bandari  ya   Doraleh  Container Terminal nchini Djibouti ambapo  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake jana walitembelea eneo  hilo   katika ziara maalum ya kiserikali,[Picha na Ikulu.] 08/05/2017.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.