Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania baada ya
kumalizika kwa kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. ujumbe huo uliongozwa
na Mheshimiwa Abdullah Makame (wa tatu kulia) ambae ni kiongozi wa msafara huo.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Wabunge wa Bunge la
Jumuiya ya Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (katikati) akizungumza na Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika
Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mheshimiwa Abdullah Makame
(katikati) ambae ni kiongozi wa msafara wa Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya
Afrika Mashariki kutoka Tanzania walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE.
No comments:
Post a Comment