Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo
(katikati) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI mjini Dodoma
(hawapopichani) mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Wizara hiyo, kulia ni
Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Sinkamba Kandege pamoja na Naibu Waziri
Mhe. George Joseph Kakunda.
................................
NTEGHENJWA HOSSEAH – TAMISEMI, DODOMA
WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. Selemani Said JaffoamesemahatahamishaMkuuwaIdarawalaKitengokatikaWizarahiilakiniatamtengeneza
awe
kamaanavyotakailiawezekuendananakasiyautendakajikaziwaSerikaliyaAwamuyaTano.
WaziriJaffoameyasemahayowakatiwakikaochakenaWatumishiwaOfisiyaRais
-TAMISEMI marabaadayakuwasiliMakaoMakuuyaWizarahiiambapoaliambatananaManaibuWaziriwa
OR-TAMISEMI .
WaziriJaffoalisemakuwa “Siwezikuhamishamatatizokutokaeneokwendalingine
cha msinginikuhakikishatunamtengenezahapahapa awe
kamatunavyotakakulingananamahitajiyetunaawezekuendananakasiyaSerikalihiisasahivikasiyetusioyakutembeabalinikukimbianalazimawotetwendapamoja”.
Aliongezakuwanahitaji “Consistency
of information”
kutokakwawatalaamwanaofahamuvizurimaeneoyaoyakazisiokilasikuunahamishaunaanzanamtumpyanayeanakuwahanataarifazakutoshakuhusukazizaawalihivyoinachukuamudakuanzakwendasawakwangumiminasemantamnyooshayeyoteambayehaendaninaviwangovyanguakiwahapahapanasikwingineko”.
AidhaWaziriJaffoaliwataWatumishiwotekuachakufanyakazikwaulegevunakuwamakiniwakatiwotewakazikwanindioinayopelekakupataujirawako,
kuachakufanyakazikwamazoeanakutoahuduma bora kwawananchi,
kutokujalimudahivyokutumiamudamrefukukamilishajukumuulilopewaamakutorudishamrejeshowakazinakutojali
utu wawatuwengine.
“Natakanionekilamtumishiyuko “busy
for something”
ilituwezekuwasaidiaWananchiwetu, nakatikahilitutapimanammojammojakatikaeneo
lake amefanyaninikwasiku, wiki,
mwezimpakamwakanayeyemwenyeweatusaidiekujitathminikuonakamaanaumuhimuwowotekatikaeneolakamaLah”
WizarahiiniInjiniyamabadilikokatikaNchiyetuhivyosisilazimatuweWizara bora
inayofanyakazizitakazoletachachuyaMaendeleokwamwanancHimmojammojanaTaifakwaujumla,
hivyonitasughulikanawatumishiwotempakanionemnaendendakadiriyakasininayoitakailimabadilikochanyayawezekutokeaalisemawaziriJafo.
“SitakikuonamtuanashindaOfisiniWizarahiiniwatekelezajiwa Sera
mbalimbalina Sera
hizozinatekelezwakwenyeMamlakayaSerikalizaMitaanatakaniwaonemkiendakufuatiliautekelezajinakuhakikishamiradiyoteinatekelezwakwaviwangonawananchiwanapatastahikiyaoyahuduma
bora tokakwenyemamlakazaserikalizamitaazilizokokwenyemaeneohayonasiokushindaOfisini”
AliongezaMhe. Jafo.
AkizungumzawakatiwakikaohichoNaibuWaziriOR-TAMISEMIMhe. George Joseph
Kakundaamesemaninachohitajitokakwawatumishiwa OR-TAMISEMI
tufanyekazinatuipendeKazinakwapamojatuwezekuisimamiabajetiyaSerikaliambapoWizarahiitunapataasilimia
20.7
yabajetinzimayaTaifaletunilazimatuitendeehakikwasababuFedhazinakujakwetuninyingihiiinaonyeshaumuhimuwaWizarahiikwamaendeleoyataifa.
Amesisitiza mambo matatuanayoyahitajitokakwawatumishikuwani “clarity”
kuwanauwezomkubwawakuelewaMajukumu, Sera, Sheria, Program,
Miongozonakanunimbalimbalisambambanamazingirawezeshiyatakayomuwezamtumishikufanyakaziambayohayayatatengenezwanamwajiripamojakuwauwezowakufanyakaziulizopangiwabilakusimamiwa
“competency”.
NayenaibuWaziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph
Sinkambakandegeninachohitajizaiditokakwenuniushirikianokwasababuhatakamamtuanawezakiasiganilazimaanahitajimsaadawamwingineiliawezekukamilishakaziyakevizurihakunanayewezapekeyakehizikazitunategemeananazaidiyahaponahitajiwatuwakwelinawaaminifuilituwezekufikiamalengoyapamoja.
Kikaohikinawatumishiwa TAMISEMI ni cha
pilitangukuapishwakwaWaziriwaNchiOfisiyaRais –TAMISEMI Mhe.
SelemaniJaffopamojanaManaibuWaziri wake Mhe. Mhe. Joseph
SinkambakandegepamojanaMhe. George Joseph Kakunda.
TAMISEMI YA
WANANCHI
No comments:
Post a Comment