Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp. Profesa John L. Thornton
akiwa na Afisa Uendeshaji wa Barrick Gold Richardc William huku Waziri wa
Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Florens Luoga nao pia wakiweka
saini ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali na timu ya
wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu jijini Dar es salaam
leo Oktoba 19, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti
Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Corp.Profesa John L. Thornton alipokutana
nae wakati wa kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali
na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
baada ya kupokea ripoti ya makubaliano baina ya Kamati ya Serikali
na timu ya wataalamu wa Barrick Gold kuhusu bishara ya madini Ikulu
jijini Dar es salaam leo Oktoba 19, 2017
PICHA NA IKULU
.........................................
No comments:
Post a Comment