RATIBA YA FAINALI YA MAZINGIRA KABUMBU CUP BAGAMOYO, JIMBO LA CHALINZE.



Fainali ya Mazingira Kabumbu Cup kati ya PERA Vs Bwilingu itakua tarehe 29.10.2017 katika uwanja wa Msata sekondari Saa 9.30 alasiri. 

Pia kutakuwa na mechi ya utangulizi kati ya kamati ya ulinzi na usalama ya Bagamoyo VS kamati ya ulinzi na usalama ya Kisarawe Saa 8.30 mchana.

 Mgeni Rasmi ni Rais wa TFF ndg Karia.

Wote mnakaribishwa katika viwanja hivyo na kutakuwa na live band.


Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga katikati akitoa maelekezo kwenye moja ya mechi za mazingira Kabumbu Cup zilizowahi kuchezwa.
 moja ya mechi za mazingira Kabumbu Cup zilizowahi kuchezwa.
 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda alipokuwa mgeni rasmi, katika uzinduzi wa mazingira Kabumbu Cup uliofanyika uwanja wa Mwanakalenge, ambap mjini Bagamoyo, kushoto ni Mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga na kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo Fatuma Latu.



Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.