Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akiangalia bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi
wa Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Naibu Mhifadhi Dkt. Maurus Msuha mara baada ya kutembelea
bonde kuu la Ngorongoro mara baada ya kuwasili tayari kwa Uzinduzi wa
Makumbusho Mpya ya Olduvai utakaofanyika kesho tarehe 3, oktoba 2017.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment