JESHI LA POLISI LATOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI KWA WANAFUNZI.

barb1
Afisa wa jeshi la polisi kitengo cha Usalama  ,Haji Nduya akitoa mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule ya msingi Oysterbay jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kanda maalum ya Dar es Salaam ikiwa mkakati wa n kupunguza ajali za barabarani.
 barb2
Mkaguzi msaidizi wa Jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani kutoka makao makuu ya Jeshi hilo ,Erick ndidi (kulia) akitoa mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi  wa shule ya masingi ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
 barb4
Wanafunzi wa darasa la kwanza  shule ya msingi ya Oysterbay jijini Dar es salaam wakionyeshwa alama za barabarani na  Afisa maswala endelevu wa TBL Group  Irene Mutiganzi (kushoto) wakati wa mafunzo hayo.
 barb5

Comments

Popular posts from this blog

VEDMA KUCHONGA BARABARA KIMANGE - PONGWE MNAZI

MATOKEA DARASA LA SABA 2018 HAYA HAPA.

MADIWANI CHALINZE WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO.

MWANRI AWAPA SOMO MAKADA WALIONOLEWA.

KATIBU NEC ATAKA WENYE ULEMAVU KUCHANGAMKIA MIKOPO

WAZIRI AWESO ATOA WIKI MBILI MRADI WA MAJI NACHINGWEA KUANZA KUTOA HUDUMA

WAKULIMA WA TUMBAKU TABORA WALILIA BEI NZURI