Mkuu wa mkoa wa
Pwani Mhandisi Everist Ndikilo akijenga ukuta wa darasa katika ujenzi wa
shule ya msingi kibindu akiwa pamoa na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, Majid
Mwanga.
Wananchi wa kijiji cha kibindu wilayani Bagamoyo
wakionyesha ushirikiano wao mbele ya
mkuu wa wilaya mara baada ya mkuu
wa wilaya kuweka kambi katika shule hiyo
kushiriki ujenzi wa madarasa
Jeshi la
akiba,(mgambo) nalo halikuwa nyuma katika kushiriki ujenzi huo wa madarasa.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo akiwa kwenye ujenzi
wamadarasashule ya msingi Kibindu ambapo
alishiriki kazi zote katika kipindi cha
siku nne.
Katikati ni mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi
Everist Ndikilo, akiwa amebeba Tofari,
kulia ni m kuu wa wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga na kushoto ni Diwani wa kata ya Kibindu Mkufya Ramadhani Mawazo,
wakisomba matofari kuyasogeza sehemu ya
ujenzi.
Kushoto ni kamanda wa polisi mkoa wa Pwani,
Kamishna msaidizi wa Polisi, ACP-Boniventure Mushongi akiwa ameb eba tofari kwenye
ujenzi wa shule ya msingi Kibindu.
Kulia ni kamanda wa polisi mkoa wa Pwani, ACP- Boniventure Mushongi, akibeba
tofali kushoto ni Afisa wamagereza ASP Yusufu.
Kulia ni mkuu wa
Polisi wilaya ya kipolisi Chalinze, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, SSP- Janeth Magomi, akiwa amebeba Tofari, anaefuata mwenye nguo nyekundu ni Afisa tarafa kwaruhombo
Renitha Luzabico wakishiriki kwenye ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi
Kibindu.
Mshauri wa mgambo wilaya ya Bagamoyo, Meja Iddi
Musira akiwa amebeba tofari kwaajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi Kibindu.
No comments:
Post a Comment