Sehemu
ya barabara ya Bagamoyo-Makofia –Msata kama inavyoonekana pichani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
pamoja na Mama Salma Kikwete (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa, kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia
Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo
mkoani Pwani. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist
Ndikilo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga, Mbunge wa
Chalinze Ridhiwan Kikwete , Katibu wa Itikadi na Uenezi ya CCM Hamphrey
Polepole pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wa Kiserikali na Wabunge,
akivuta kitambaa kuashiria jiwe la ufunguzi wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia
Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo
mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TANROADS mkoa wa
Pwani na Dar es Salaam mara baada ya kufungua barabara ya Bagamoyo-Makofia
Msata yenye urefu wa kilometa 64. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani
Eng. Evarist Ndikilo, Mama Salama Kikwete, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Miundombinu Profesa Norman Sigala, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa Katibu wa Itikadi na Uenezi ya CCM Hamphrey
Polepole pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kufungua
Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la
Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kufungua Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata
yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani
Pwani
Mtendaji
Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale akielezea hatua za ujenzi wa Madaraja
katika barabara ya Bagamoyo-Msata huku Rais Dkt. Magufuli akimsikiliza.
Mbunge
wa Bagamoyo Dkt. Shukuru Kawambwa akisalimia kabla ya ufunguzi wa Barabara ya
Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la Daraja la Ruvu
chini, Bagamoyo mkoani Pwani .
Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale akizungumza kabla ya ufunguzi
wa Barabara ya Bagamoyo-Makofia Msata yenye urefu wa kilometa 64 katika eneo la
Daraja la Ruvu chini, Bagamoyo mkoani Pwani
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ujenzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Miundombinu Prof. Norman Sigala wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla ya
ufunguzi wa barabara hiyo ya Bagamoyo-Msata.
-PICHA ZOTE NA KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU
No comments:
Post a Comment