Tume
ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)imetaja sababu za kuongeza siku za uandikishaji katika zoezi
la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es
Salaam, sababu kubwa ikiwa ni maombi mbalimbali katika vituo
vya uandikishaji..
Nec imeongeza siku tatu, kuanzia feb 21 hadi Februari 23, 2020, na kuwataka watu kuhudhuria kwa wingi katika vituo mbalimbali vilivyopo katika jiji la Dar es salaam..
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles alisema hawakuongeza muda kwa sababu watu walikuwa hawajitokezi katika kujiandikisha ila tumeongeza kwa sababu kuna uhitaji, watu wengi wanataka huduma, tunataka kuwa na watu wengi katika uchaguzi huu.

Dkt.Charles amesema baada ya maombi hayo
walifanya kikao cha Februari 19 kwa ajili ya kutathmini zoezi hilo na
kuamua kuongeza muda wa kujiandikisha.
No comments:
Post a Comment