Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Rayna
Abdala mwenye umri wa mwaka mmoja aliyelazwa kutokana na kuungua moto katika
hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa Kusini Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Hafidh
Jabir Ali mwenye umri wa miaka 3 aliyelazwa kutokana na kuungua na chai katika
hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa Kusini Pemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa
Dkt. Wuxiao Shu juu ya matibabu ya mguu wa mtoto AzarAli mwenye umri wa miaka
aliyelazwa katika hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa Kusini Pemba.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi nje ya majengo ya hospitali ya Abdala Mzee, mkoa wa
Kusini Pemba mara baada ya kukagua maendeleo ya hospitali hiyo.
Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment