Baadhi
ya Makatibu Wakuu wakitizama kwa mbali Ziwa Manyara.
Katibu
Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali ,Gaudence Milanzi akiwanesha
baadhi ya Makatibu Wakuu namna ambavyo athari za kimazingira zimeanza kuonekana
katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara .
Mkuruenzi
Mkuu wa Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi (Mwenye kofia) akiwaonesha
Makatibu Wakuu waliotembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara maeneo ya Ziwa
Manyara ambayo yameanza kukauka.
Eneo
moja wapo la Vivutio vya Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara
likionekana kuanza kukauka kutokana na Athari za kimazingira zinazosababishwa
na shughuli mbalimbali za kibinadamu zikiwemo ,Kilimo Uchimbaji wa Madini
katika maene ya jirani na Ziwa hilo.
No comments:
Post a Comment