RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua
jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja,kushoto Waziri Nchi
Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Haroun Ali
Suleiman na kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Makungu na Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman
Makungu akitowa maelezo wakati wa uzinduzi huo ya jengo jipya la mahakama ya
Wilaya Mwanakwerekwe Unguja.
BAADHI ya Majaji na Mahakimu wa
Mahakama za Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa jengo hilo
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali
Suleiman akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mahakama ya
Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar.
JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akizungumza
wakati wa uzinduzi wa Jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Zanzibar
kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,kuhutubia hadhara hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la
Mahakama ya Wilaya Mwamakwerekwe Zanzibar
RAIS wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiwa
katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mwanakwerekwe
Zanzibar baada ya uzinduzi wa jengo hilo.(Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment