Popular posts from this blog
GURUMO AMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA NA WAZIRI KIKWETE
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Na Omary Mngindo, Kimange DIWANI wa Kata ya Kimange Halmashauri ya Chalinze Wilaya ya Bagamoyo Pwani Juma Gurumo, amemshukuru Rais Dkt Samia Suluhu na Mbunge Ridhiwani Kikwete kwa kuiangalia kwa jicho la kipekee. Gurumo ametoa kauli hiyo Sept 17 akipokea mabomba yanayolenga kuboresha upatikanaji wa Maji, kutoka kutoka kwa Ofisa wa DAWASA Mhandis Kahemele, ambapo alisema Serikali imeonesha namna gani inavyowajali wanaKimange. "Nielezee shukrani zangu kwa Serikali yangu inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu pamoja na Waziri wa Utumishi Ridhiwani Kikwete ambae ndio Mbunge wangu, Kimange inakwenda kwa kasi kubwa," alisema Gurumo. Aliongeza kuwa ameingia kwenye nafasi hiyo akiwa mwenye bahati kubwa, kwani tangu achaguliwe mwaka mmoja uliopita kumekuwepo na kasi kubwa ya maendeleo yanayoelekezwa katani kwake. "Nimeingia na bahati kwani kwa kipindi kifupi tangu nichaguliwe kuwa Diwani Maji yanazidi kuongezewa miundombinu, sasa yanapatikana maeneo mengi na leo tunapokea mabom...
RAIS WA ZANZIBAR ATOA POLE KUFUATIA KIFO CHA MAMA FATMA KARUME.
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa salamu za pole kwa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Mhe. Amani Abeid Karume, pamoja na familia, ndugu na jamaa, kufuatia kifo cha Mama Fatma Karume, aliyekuwa mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, kilichotokea leo, tarehe 21 Septemba 2026. Rais Dkt. Mwinyi amesema amepokea taarifa hiyo kwa masikitiko makubwa, akieleza kuwa anaungana na familia ya Hayati Sheikh Abeid Amani Karume pamoja na wananchi wote walioguswa na msiba huo katika kipindi hiki cha majonzi. Amesema Marehemu Mama Fatma Karume amekuwa sehemu muhimu ya historia ya Zanzibar na Tanzania, akiwa mwenza wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar. Rais Dkt. Mwinyi amemuomba Mwenyezi Mungu amsamehe na amrehemu Marehemu Mama Fatma Karume na amjaalie makaazi mema Peponi, pamoja na kuipa familia subira katika kipindi hiki kigumu.
JANETH MASABURI ATEULIWA KUWA MBUNGE.
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
GREEN ACRES YAANZA KUFUNDISHA AKILI MNEMBA
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
GREEN ACRES YAANZA KUFUNDISHA AKILI MNEMBA Na Mwandishi Wetu Mkururugenzi wa shule ya Green Acres ya Mbezi Beach Salasala jijini Dar es Salaam, Jacklline Rushaigo ameelezea namna shule hiyo ilivyoanza kufundisha Teknojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA ili kwenda sanjari na ulimwengu kidijitali. Akizungumza kwenye mahafali ya darasa la saba na shule ya awali ambapo wanafunzi 60 walihitimu elimu ya msingi, Jackline alisema Shule hiyo inatambua umuhimu wa kuzingatia teknolojia za kisasa katika ufundishaji. “Tumeongeza ubora na ufanisi kwenye TEHAMA, wanafunzi wetu wanajifunaza masuala ya akili mnemba wakiwa wadogo hapa shuleni na mambo yanayoendana na uhalisia wa utanzania wetu na dunia ya sasa,” alisema “Tunawapa taaluma ambayo hata wakiwa nje ya shule wanaweza kufanya vitu mbalimbali vya kujiajiri na kujiingzia kipato, Green Acres tunataka mwanafunzi akimaliza hapa awe na ujuzi wa kutosha kabisa kumwezesha kufanya mambo makubwa,” alisema Aliwataka wahitimu wa darasa l...
MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA ZAIDI YA BIL 4 IGUNGA
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA ZAIDI YA BIL 4 IGUNGA Na Allan Kitwe, Igunga MIRADI ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.8 Wilayani Igunga Mkoani Tabora imekaguliwa, kuwekewa jiwe la msingi na kuzinduliwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Michael Mwang’onda. Akiongea na wananchi katika maeneo mbalimbali ambako mwenge huo umepita Kiongozi huyo ameishukuru serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuleta mabilioni ya fedha katika Wilaya hiyo. Amesisitiza kuwa Mwenge wa Uhuru Kitaifa umeridhika na kazi iliyofanyika kwenye utekelezaji miradi ya wananchi ndio maana ameweka jiwe la msingi na kuzindua miradi yote kwa sababu imejengwa kwa ubora unaotakiwa. ‘Nakupongeza sana Mkuu wa Wilaya Sauda Mtondoo, Mkurugenzi Mtendaji Selwa Hamid na Wataalamu wote kwa kusimamia vizuri na kwa dhati fedha zilizoletwa kwa ajili ya kutekeleza miradi hii’, ameeleza. Miradi iliyotembelewa na kuzinduliwa na Kiongozi huyo ni mrad...
MWANRI AWAPA SOMO MAKADA WALIONOLEWA.
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
MWANRI AWAPA SOMO MAKADA WALIONOLEWA. Na Omary Mngindo, Kibaha NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Aggrey Mwanri amewataka washiriki wa Mafunzo ya Makada wa vyama vya kisiasa kwenda kuyatumia vizuri. Mwanri ametoa Rai hiyo katika kufunga Mafunzo ya siku 45 ya uongozi kwenye shule ya Mwalimu Nyerere Kibaha Mkoa wa Pwani, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Msumbiji (FRELIMO), Chakil Aboobacar. "Mafunzo haya yanaashiria mwanzo wa kukiandaa kizazi kijacho cha Makada na viongozi wa vyama dada kutoka nchi zetu, niwaombe mkawe mabalozi wazuri wa kuyaeleza mliyojifunza," alisema Mwanri. Alipongeza kuwa, "Mmepata nafasi ya kujifunza masuala yanayohusu maendeleo ya nchi zetu, Wakufunzi wamenyakai kubwa sasa ni wajibu wenu kwenda kwenye vyama vyeu mkaunganishe vyama vyenu, Serikali na Wananchi,"alisema Naibu Katibu huyo. Mkuu wa Shule hiyo Prof. Marcelina Chijoriga alisema kuwa mafunzo yalitaraji kuwa na washiriki 60 ikiwa ni walengwa ...
MATOKEA DARASA LA SABA 2018 HAYA HAPA.
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi (darasa la saba) kwa mwaka 2018 ambapo matokeo yanaonyesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.76% tofauti na ufaulu wa 2017 ambao ulikuwa asilimia 72.76%. Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Dkt. Charles Msonde, amesema katika tathmini ya awali kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 4.9% ikilinganishwa na 2017, amesema pia kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza uko chini sana tofauti na masomo mengine (50%). NECTA pia limewafutia matokeo watahiniwa 357 waliobainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani iliyofanyika mwaka huu 2018. “Baraza limezuia kutoa matokeo ya watahiniwa zaidi 100 kutokana na kuugua kipindi cha mtihani na kuwapa fursa ya kufanya mtihani huo mwaka 2019,” amesema Msonde. Bonyeza link hapo chini kuona matokeo ya kila shule. NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2018 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR...
WAZEE WAASWA KUWA MBELE KATIKA KUHAMASISHA USHIRIKI WA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
NA HADIJA OMARY, LINDI. Wazee wa Nachingwea wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kujitokeza kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba mwaka huu 2024. Wito huo umetolewa na Afisa Uchaguzi wa Wilaya ya Nachingwea Robert Mmari alipokuwa akizungumza na wazee maarufu wa Wilaya hiyo ambapo amesisitiza kuwa maandalizi yanaendelea vizuri na msaada wa wazee utahakikisha zoezi linafanikiwa Afisa Uchaguzi (W) ya Nachingwea ndugu Robert Mmari pia ameeleza kuwa sifa za mgombea na mpiga kura zimesha ainishwa, kwamba Mpiga kura lazima awe na akili timamu, awe na umri wa miaka 18 au zaidi, na awe mkazi wa kitongoji husika Wananchi wote wanatakiwa kupiga kura kwenye vitongoji walivyojiandikisha, huku zoezi la kuchukua fomu za kugombea likipangwa kuanza Novemba 1 Aidha, Msaidizi wa uchaguzi Joshua mnyang'ali Amesema kuwa kwa mwananchi kushindwa kujiandikisha kwa wakati uliopangwa, atapoteza h...
MADIWANI CHALINZE WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO.
By
BAGAMOYO KWANZA BLOG
-
Madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo, wakikagua miradi ya maendeleo inayoendelea ndani ya Halmashauri hiyo. .............................. Kamati ya fedha Utawala na Mipango ya halmashauri ya Chalinze jana Aprili 15, 2019 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo ya Tatu ya mwaka wa Fedha 2018/2019. Ziara hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wa halmashauri Mheshimwa Saidi Zikatimu na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka. Katika ziara hiyo wajumbe wameweza kukagua kizuia cha mapato katika kijiji cha Kihangaiko Kata ya Msata ambacho ni suluhisho kwa wote wanaotumia barabara ya Msata Kihangaiko ili kukwepa kulipa ushuru mbalimbali unaotokana na madini ya kokoto,Ujenzi wa jengo la mionzi katika hospitali ya wilaya ya Chalinze iliyopo katika kijiji cha Msoga Kata Msoga, ujenzi wa vyumba sita vya madarasa katika shule ya Sekondari ya Mdaula iliyopo katika Kata ya Bwilingu....

Comments
Post a Comment