DC. MUHEZA: AHIMIZA WANAFUNZI KUSOMA MASOMO YA SAYANSI KWA BIDII.

Mkuu, wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akikagua maonyesho ya Juma la wiki ya Elimu wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye viwanja vya Jitegemee wilayani Muheza.
 
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kutoka kulia akipata maelekezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Kidato cha nne Shule ya Sekondari Chief Mang’enya,Janet Justice wakati wa maadhimisho ya Juma la wiki ya Elimu
 
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea kwenye uwanja wa Jitegemee wilayani Muheza kunakofanyika Juma la Wiki ya Elimu.
 
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mlingano wenye mahitaji maalumu ya ulemavu wa kutokusikia na wale wenye ulemavu wa macho wakitumbuiza kwenye maadhimisho hayo wakitumbuiza kwenye maadhimisho hayo

Comments

Popular posts from this blog

GURUMO AMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA NA WAZIRI KIKWETE

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

RAIS WA ZANZIBAR ATOA POLE KUFUATIA KIFO CHA MAMA FATMA KARUME.

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

GREEN ACRES YAANZA KUFUNDISHA AKILI MNEMBA

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA ZAIDI YA BIL 4 IGUNGA

MWANRI AWAPA SOMO MAKADA WALIONOLEWA.