Posts

MGOMBEA UDIWANI LINDI (CUF) ALALAMIKIA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI.

Image
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) BI Rukia Mbasha akimkabidhi ilani ya chama hicho Diwani mteule wa kata ya Mvuleni Mnuli Saidi Khatibu Baada ya kutangazwa na Msimamizi kuwa Amepita kuwa diwani wa kata hiyo Bila kupingwa   Diwani Mteule wa kata ya Mvuleni Mnuli Khatibu (CCM) akionyesha ilani ya Chama hicho baada ya kukabidhiwa  ................................. Na Hadija Hassan, Lindi. MGOMBEA Udiwani Kata ya Mvuleni, Halmashauri ya Lindi, Mkoani hapa, Chuma Abdurahamani Saidi (CUF) amesikitishwa na maamuzi yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi mdogo Wilayani Hapa kumpitisha mpinzani wake, Mnuli Said Khatibu {CCM} Kuwa Diwani wa kata hiyo kwa madai ya  kushindwa kujibu pingamizi zake. Chuma ametoa masikitisho hayo wakati alipokuwa akizungumza na Mwandishi wa Habari hiziz, kuhusu kutupiliwa mbali kwa pingamizi lenye vipengele vinne alizokuwa amemuwekea mpinzani wake Mnuli Said Khatibu wa Chama Cha Mapinduzi  {CCM}. ...

CGF. AFANYA MABADILIKO YA BAADHI YA MAKANDA WA MIKOA.

Image

SUBIRA MGALU AKAGUA VIKUNDI CHALINZE.

Image
 Kina mama wa kikundi cha "NAMNYAKI" kilichopo kata ya Lugoba Halmashauri ya Chalinze wakimvisha vizuri mkufu, Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mh. Subira Hamisi Mgalu, alipokuwa kwenye ziara ya kutembelea vikundi vilivyokopeshwa na Halmashauri ya Chalinze, Mkufu huo ambao mara nyingi huvaliwa na jamii ya kimasai alipewa zawadi na vikundi vya kata ya Pera katika Halmashauri hiyo.    Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mh. Subira Hamisi Mgalu, akivishwa Mkufu na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT) kata ya Pera Tatu Bakari Mpogo, Mkufu huo umepewa zawadi kutoka kwa kina mama wa kata ya Pera Halmashauri ya Chalinze alipokuwa katika ziara ya kutembelea vikundi vilivyokopeshwa na Halmashauri hiyo. ........................................  Halmashauri ya Chalinze ambayo imeanzishwa mwaka 2015, imeshakopesha milioni 900 kwa vikundi mbalimbali vya wanawake vijana na walemavu kwaajili ya kujiendeleza katika shughuli za kiuchumi. Hayo yameb...