RAIS SAMIA AKIPEWA POLE NA VIONGOZI MBALIMBALI

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamona na Viongozi mbali mbali wa Vyama na Serikali na Wananchi,  wakimfariji  Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walipofika nyumbani kwake Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kufuatia kufiwa na Mume wake Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki Dunia katika Hospitali ya Mzena Zanzibar,  tarehe 07 Sept, 2026.














Comments

Popular posts from this blog

TARURA YATENGA BIL. 1 KUKABILIANA NA EL NINO TABORA

SHULE YA MSINGI IPULI YAPEWA TUZO YA UFANISI

MRADI WA BOMBA LA MAFUTA KUANZA JANUARI 2027

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

MAONESHO YA MADINI YAIPAISHA LINDI KIMAPATO - MAKUSANYO YAFIKIA BILIONI 10.5

MBEYA DC YAPOKEA MRADI KUHIFADHI MAZINGIRA BONDE LA MTO SONGWE

MWENGE WA UHURU, WAZINDUA NA KUTEMBELEA MIRADI YA MILIONI 900. BUKOBA

MWENYEKITI MBEYA DC ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUCHIMBA MSINGI WA SHULE