MUME WA RAIS DKT. SAMIA AFARIKI DUNIA.
MUME WA RAIS DKT. SAMIA AFARIKI DUNIA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi ametangaza kifo cha Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichotokea leo Septemba 07, 2026 majira ya saa mbili asubuhi katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo.
Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika Kizimkazi Zanzibar

Comments
Post a Comment