Posts

MAGAZETI YA LEO 14 APRILI 2017.

Image

HABARI PICHA BUNGENI LEO 13 APRILI 2017.

Image
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango akiwasilisha Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Taarifa za Fedha za Serikali kuu , Fedha za Miradi ya  Maendeleo, Fedha za Mashirika ya Umma na majibu ya hoja na mpango wa  kutekeleza mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2015/2016.   Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akiwasilisha Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI,UTUMISHI NA UTAWALA BORA) kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akijibu hoja mbalimbali za wabunge katik...