Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwakabidhi bendera ya taifa
askari kumi (10) waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania
kwenye kazi ya Ulinzi wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro,
amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya
sheria na taratibu. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, AKIWA KWENYE PICHA na askari
waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye kazi ya Ulinzi
wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro, amewataka askari hao
kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu. Picha
na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment