RIDHIWANI KIKWETE AIZURU FAMILIA YA MAREHEMU NDESAMBURO MOSHI.

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, Mh. Ridhiwani Kikwete akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Philimoni Ndesamburo kwa lengo la kutoa pole katika msiba uliotokea hivi karibuni.

Marehemu Philimoni Ndesamburo alikuwa muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge mstaafu wa jimbo la Moshi.
  
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, Mh. Ridhiwani Kikwetea, alipozuru kaburi la muasisi wa CHADEMA na Mbunge mstaafu wa jimbo la Moshi Philimon Ndesamburo.
 
 Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, Mh. Ridhiwani Kikwetea,akiwa na familia ya marehemu Philimon Ndesamburo.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.