Posts

MADEREVA DAR-BAGAMOYO WALALAMIKIA KITUO CHA TEGETA NYUKI.

Image
Wamiliki na madereva wa mabasi yanayofanya safari Dar-Bagamoyo wamelalamikia miundombinu ya kituo cha Tegeta Nyuki kuwa sio mizuri kwa kuingiza magari kituoni hapo. Wakizungumza na wanaadishi wa Habari kituoni hapo, Madereva hao walisema kituo hicho hakijaandaliwa kwa matumizi ya mabasi mengi, na kwamba kuhamishia mabasi ya Bagamoyo kituoni hapo ni kuleta usumbufu. Wakitaja baadhi ya mapungufu yaliyopo katika kituo hicho walisema ni pamoja na ubovu wa eneo lote la kituo kwakuwa limechimbika na kusababisha mashimo yanaopelekea kujaa maji wakati wa mvua na kusababisha usumbufu kwa abiria na magari yanayoingi humo. Aidha, walisema Geti la kuingilia magari kuna shimo kubwa linalosababisha magari kukwama wakati wa kuingia, kukosekana kwa taa usiku uchache wa vyoo pamoja na udogo wa eneo leneyewe la kituo hicho. Malalamiko ya madereva hao yamekuja kufuatia amri ya kuwataka kuondoka katika kituo cha makubusho na kuwataka kuishia kituo cha Tegeta nyuki. Katika Barua ...

DC BAGAMOYO AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE.

Image
   Mkuu wa wilaya ya   Bagamoyo Alhaj, Majid Mwanga,   kushoto,   akifurahia   jambo n a sheikh mkuu BAKWATA wilaya ya Bagamoyo , Abdulkadir Muhammad Ramia wakati wa futari iliyofanyika leo jumamosi mwezi 29 Ramadhani tarehe 24 Juni 2017.

MUFTI ZUBERI AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA AJILI YA SWALA YA EID EL FITRI.

Image
Mufti wa Tanzania,Sheakh Abubakary Zubery akisalimiana na waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya kuwasili katika ofisi za Bakwata wilaya ya Hai   Mufti wa Tanzania ,Abubakary Zubery akitia saini katika kitabu cha ageni mara baada ya kufungua rasmi ofisi za BAKWATA wilaya ya Hai. Msikiti wa Masjid Shafi uliopo wilayani Hai Msafara wa Mufti ukitoka katika uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) .   Mufti wa Tanzania,Sheakh Abubakary Zubery akifungua kitambaa katika jiwe la Msini kuashiria kuendelea kwa ujenzi wa jengo hilo litakalo tumika kama Madrasa