Posts

DAS, BAGAMOYO AONGOZA MAZOEZI YA VIUNGO LEO, 28 JANURY 2017.

Image
Katibu tawala wilaya ya Bagamoyo, Erica Yegela, Mwenye fulana ya Orange katikati, akiongoza mazoezi ya viungo pamoja n a wafanyakazi wa  Halmashauri ya Bagamoyo leo jumamosi 28 january 2017, katika uwanja wa Mwanamakuka   mjini Bagamoyo, Kulia ni Mshauri wa mgambo wilaya ya Bagamoyo, Meja, Iddi Musira, na Kushoto ni   Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Bagamoyo, Raymond Katima. Katibu tawala wilaya ya Bagamoyo, Erica Yegela, Mwenye fulana ya Orange, katikati, akiongoza mazoezi ya kukimbia pamoja na watumishi wa Halmashauri ya Bagamoyo leo jumamosi 28 january 2017,   wa kwanza kulia mwenye fulana nyekundu ni   Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Bagamoyo,   Raymond Katima, wa   pili kulia mweye Tracksuit, ni Mkuu wa Gereza la Kigongoni, Mrakibu wa Magereza- Muyengi Bulilo na wakwanza kushoto ni Mkuu wa   kituo cha Polisi Bagamoyo, Mrakibu wa Polisi, SP- Ngonyani. Katibu Tawala wilaya ya Bagamoyo, Erica Yegela akizungumza mara baada ya k...