Posts

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI AKABIDHI VISIMA VITATU VYENYE THAMANI YA SH.MILLION 84.5

Image
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, wa kushoto akiwa na Afisa Mtendaji  wa Shirika lisilo la kiserikali toka Nchini Omani linaloitwa  TUELEKEZANE PEPONI    Bw.Nasr Al Jahdhamy  wakati wa kukabidhi visima vitatu kwa wananchi wa jimbo hilo.   Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, wa pili kutoka kushoto anayemfatia ni Afisa Mtendaji  Bw.Nasr Al Jahdhamy mwakilishi kutoka Oman na Katibu wa Mbunge Bwana Iddi Swala na Mzee Maokola wakati wa kukabidhi visima vitatu kwa wananchi wa jimbo hilo.   Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akiongea na wananchi wa jimbo hilo  akiwa na Afisa Mtendaji  wa Shirika lisilo la kiserikali toka Nchini Omani linaloitwa  TUELEKEZANE PEPONI  Bw.Nasr Al Jahdhamy  wakati wa kukabidhi visima vitatu kwa wananchi wa jimbo hilo. .................................   Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete amekabidhiwa visima Vit...

BONANZA LA MICHEZO BAGAMOYO, HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAICHAPA KILUNGULE MABAO 3-0.

Image
Bonanza   la michezo liliofanyika jana Tarehe 27 Novemba, katika uwanja wa Mwanakalenge Bagamoyo mjini, limejumuisha timu 11 kutoka Dar es slaam na   Pwani na kulifanya   liwe kivutio cha aina yake   pale timu za maveterani zilipomenyana vikali katika kuonyeshana   uwezo. Katika michezo hiyo timu ya Halmashauri ya Bagamoyo iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya timu ya Kilungule, Timu ya   Mapinga ilichuana na Neibour ambapo Neibour ilitoka na ushindi wa bao 1 na Mapinga haikupata kitu. Aidha katika Mechi nyingine Mapinga ilicheza na Temboni ambapo Temboni   waliichapa Mapinga bao   1-0,   Timu ya Mwenge Veterani imeilaza Timu ya Leaders mabao 2-0, huku Corner ikwa imeichapa Kibamba mabao 2-0, na Kibaoni imeibuka na ushindi wa bao 1 dhidi ya Golan ambayo haikupata kitu. Kwa upande wake Mratibu wa Bonanza hilo, Deodatus Katambi alisema Bonanza hilo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa   kwakuwa    matarajio yalikuw...