Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa
Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma,
Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na
viongozi wengine wa dini wa Mkoa wa Geita akifunua pazia kuashiria uwekaji wa
jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini
Chato jana Desemba 18, 2019.
Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani
na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma
Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa
Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir akiangalia mchoro wa
utakaavyoonekana Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda alipowasili kuweka
jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti huo utaokuwa na uwezo wa kukaa waumini 3000
kwa ndani na 6000 kwa nje, ukiwa unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma
Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea kwenye hafla
ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al
Huda mjini Chato.
Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000
kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi
ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Jaji Mkuu
wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akisalimia wananchi akiwa na Spika wa Bunge la
Jamhuri Mhe Job Ndugai wa Taasisi
ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini na serikali wa Mkoa wa Geita kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato. Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua, waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa
Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai akisalimia wananchi akiwa na Jaji Mkuu wa
Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh
Shariff Abdulqadir pamoja na viongozi wengine wa dini na serikali wa Mkoa wa Geita kwenye hafla ya uwekaji
wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini
Chato.
Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani
na 6000 kwa nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma
Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa
Bunge la Jamhuri Mhe Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma,
Rais wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir pamoja na
viongozi wengine wa dini wa Mkoa wa Geita wakipata picha ya kumbukumbu baada ya hafla ya uwekaji wa jiwe la
msingi la ujenzi wa Msikiti Mkuu wa wilaya ya Chato wa Al Huda mjini Chato.
Msikiti huo utakaokuwa na uwezo wa kuchukua waumini 3000 kwa ndani na 6000 kwa
nje kwa wakati mmoja, unajengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation kwa thamani ya Shilingi 1.6bn/-.
No comments:
Post a Comment