JESHI LA POLISI LAFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI CHUO CHA POLISI KIDATU

2
Naibu Kamishna wa Polisi mstaafu (DCP) Venance Tossi (Kushoto), akizungumza jambo na Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard Paulo (kulia),  muda mfupi kabla ya kufunga mafunzo ya Utayari ya kuwajengea uwezo askari wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kazi za Polisi.
 1
Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard Paulo (katikati),  akiwa ameongozana na Naibu Kamishna wa Polisi mstaafu (DCP) Venance Tossi (Kushoto) na Mkuu wa chuo cha Polisi Kidatu kilichopo mkoani Morogoro, kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zarau Mpangule, wakati alipowasili katika chuo hicho kwa ajili ya kufunga mafunzo ya Utayari ya kuwajengea uwezo askari wakati wanapotekeleza majukumu yao.
 3
Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Leonard Paulo, akifanya mazoezi ya viungo na baadhi ya askari wanaoshiriki Mafunzo ya Utayari na kujengewa uwezo wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kazi za Polisi, mafunzo yanayofanyika katika Chuo cha Polisi Kidatu Kilichopo mkoani Morogoro. 

Picha na Jeshi la Polisi

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

GURUMO AMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA NA WAZIRI KIKWETE

TAKUKURU KAGERA YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 2.

RAIS WA ZANZIBAR ATOA POLE KUFUATIA KIFO CHA MAMA FATMA KARUME.

GREEN ACRES YAANZA KUFUNDISHA AKILI MNEMBA