RAJABU M'BAGA ACHUKUA FOMU YA UENYEKITI WA MAGOMENI B, BAGAMOYO.

Mgombea wa nafasi ya unyekiti wa Kitongoji cha Magomeni 'B' kwa tiketi ya CCM, Rajabu Maliki (M'baga) Akikabidhiwa fomu na Afisa mtendaji wa kata ya Nianjema Cezary Madasha, wanaoshuhudia Diwani wa  kata ya Nianjema, Abdu Piyalla anaepiga picha na simu nyeusi, kulia kwake ni Mwenyekiti wa kitongoji cha magomeni 'C' Saidi Omari Shomari (Mkono Mfukoni) hapo jana, Tarehe 23 January 2017.
Mgombea wa nafasi ya unyekiti wa Kitongoji cha Magomeni 'B' kwa tiketi ya CCM, Rajabu Maliki (M'baga) Akisaini kuthibitisha kupokea fomu hiyo, hapo jana, Tarehe 23 January 2017.
Mgombea wa nafasi ya unyekiti wa Kitongoji cha Magomeni 'B' kwa tiketi ya CCM, Rajabu Maliki (M'baga) Akisindikizwa na Mpambe wake, Kada, Hamisi Tosha, wakati wa kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo hapo jana, Tarehe 23 January 2017.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU