Mkuu wa wilaya ya
Bagamoyo, Majid Mwanga akiwa ndani
ya Ngalawa kwenye mto Ruvu, kutokea kijiji cha Milo kata ya Vigwaza, ambapo zaidi ya Heka
100 za wakulima zimeharibiwa na
wafugaji hali iliyopelekea
wakulima kuhama kijijini hapo kutokana na hasara waliyoipata.
Baadhi ya watoto wa jamii ya wafugaji wakiwa wamekaa nyumbani bila ya kupelekwa shule
ambapo wazazi wao wamekimbia baada ya kuona msafara wa
mkuu wa
wilaya ukiingia kijijini hapo.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo akishuka kwenye Ngalawa akitokea kijiji cha Milo ambako ameweka mikakati mbalimbali ya
kuwarejesha wakulima ili waendelee na
kilimo na kutafuta ufumbuzi kuhusu wafugaji kuvamia mashamba ya
wakulima na kuharibu mazao.
No comments:
Post a Comment