MAKATIBU WAKUU WAKUTANA KUJADILI UVUVI WA KUTUMIA MABOMU.

wakuu-2
Kushoto Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Profesa Faustin Kamuzora akizungumza katika kikao cha Makatibu wakuu na wadau wa sekta husika za masuala ya mazingira, katika mkutano ulohusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu. Mkutano huo wa ndani ulifanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam. 
 wakuu-1
Kaimu Mkurugenzi Idara yaM azingira Ofisi ya Makamu wa RaisB w. Richard Muyungi akiwasilisha mada iliyohusu mapendekezo ya mkakati wa pamoja wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu, katika mkutano wa Makatibu wakuu na wadau wa sekta ya mazingira ulohusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu.
 wakuu
Sehemu ya washiriki katika mkutano wa Makatibu Wakuuwa Wizara na wadau wa sekta husika za masuala ya mazingira uliohusuhusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU