MHE. RAIS SAMIA APOKEA KOMBE LA USHINDI WA COSAFA KUTOKA KWA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE TWIGA STARS

 No description available.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Kombe la Ubingwa wa Cosafa kutoka kwa Nahodha wa Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars Amina Ali Bilali leo tarehe 27 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No description available.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya  Wanawake Twiga Stars mara baada ya kupokea Kombe la Ubingwa wa Cosafa kwa Timu  hiyo leo tarehe 27 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No description available.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na baadhi ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars mara baada ya kupokea Kombe la Ubingwa wa Cosafa kutoka kwa Wachezajia wa Timu ya hiyo leo tarehe 27 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No description available.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars mara baada ya kupokea Kombe la Ubingwa wa Cosafa kutoka kwa Wachezajia wa Timu ya hiyo leo tarehe 27 Oktoba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

MATOKEA DARASA LA SABA 2018 HAYA HAPA.

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AUNGURUMA PWANI ASEMA DHAMIRA KUBWA YA CCM NI KUWAHUDUMIA WANANCHI

HAYA HAPA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2017.

TAKUKURU MKOA WA PWANI YAFANIKIWA KUOKOA ML.29 KUTOKA KWA WAKUSANYA USHURU WILAYA YA MAFIA

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2016 HAYA HAPA

CCM YAKERWA NA WATUMISHI WASIOJALI WANANCHI