Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chalinze, Ramadhani Posi na Katibu Mkuu wa Tanzania- China Friendship Promotion Association (TCFPA) (kulia) Joseph Kahama, wakitiliana saini kwaajili ya ujenzi wa majukwaa ya kisasa katika uwanja wa michezo wa Msoga, wanne kutoka kulia waliosimama ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akishuhudia utiaji saini huo pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Ismail Msumi, Diwani wa kata ya Msoga Mh: Hassan Mwinyikondo.
.
Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chalinze, Ramadhani Posi na Katibu Mkuu wa Tanzania- China Friendship Promotion Association (TCFPA) (kulia) Joseph Kahama, wakibadilishana mikataba ya ujenzi wa majukwaa ya kisasa katika uwanja wa michezo wa Msoga mara baada ya kutiliana saini, wanaoshuhudia ni baadhai ya viongozi wa kata ya Msoga wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania- China Friendship Promotion Association (TCFPA)
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete, (katikati) akiangalia Mchoro unaoonyesha jinsi majukwaa hayo ya kisasa yatakavyokaa katika uwanja wa michezo wa Msoga.
Mbunge wa Jimbo
la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete, (katikati) (katikati) akiongoza msafara huo wakiwa katika eneo la uwanja wa michezo wa msoga ambao unatarajiwa kujengwa majukwaa ya kisasa kupitia Tanzania- China Friendship Promotion Association (TCFPA) wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chalinze, Ramadhani Posi na wa pili kushoto ni Katibu Mkuu
wa Tanzania- China Friendship Promotion Association (TCFPA).
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete, akizungumza mara baada ya zoezi la kutiliana saini kukamilika.
Ujenzi huo unakadiliwa kutumi zaidi ya Tsh Milioni 240 na kwa awamu ya kwanza zitatolewa Tsh. Milioni 60.
No comments:
Post a Comment