Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo
ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam akiwa
ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es
salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato
mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo ya
kuvunjwa kwa sehemu ya majengo ya TANESCO (pichani nyuma) na la Wizara ya Maji
ili kupisha ujenzi wa miundombinu baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi
wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam
akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a
Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini
kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Wananchi
wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli wakati akitoa maagizo baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa
daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam
akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a
Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini
kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017
Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA
jijini Dar es salaam kama lilivyo leo Jumatano Novemba 15, 2017
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment