Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara
baada ya kuwapongeza wabunge hao wa Tanzania waliochaguliwa kushika
nafasi za juu katika Bunge la Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza
kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la
Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia amechaguliwa
kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika
Afrika ya Kusini wiki iliyopita.
Makamu
wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele akizungumza na Wanahari Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika Mboni Mhita
PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment