MKUU WA JESHI LA POLISI IGP SIMON SIRRO, AKIZUNGUMZA NA ASKARI WA VIKOSI
VYA MJINI MAGHARIBI, KUSINI UNGUJA NA KASKAZINI UNGUJA JANA ALIPOKWENDA
KUFANYA MAZUNGUMZO YA KIKAZI NA MAOFISA NA ASKARI VISIWANI UNGUJA. IGP
SIRRO ALIWATAKA ASKARI VISIWANI HUMO KUHESHIMU WANANCHI WAKIWA KWENYE
KAZI ZAO ILI KUENDELEA KULETA HESHIMA YA JESHI LA POLISI
No comments:
Post a Comment