Friday, July 14, 2017

MBUNGE WA CHALIZE ASHIRIKI KIKAO CHA MAENDELEO CCM HALMASHAURI YA CHALINZE.

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa kikao cha maendeleo ya CCM katika Halmashauri ya Chalinze, wilayani Bagamoyo.
 

Kikao cha Maendeleo cha CCM Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo,  kikiendelea, meza kuu kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mh. Majid Mwanga, wa pili kushoto ni Mbunge wa jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete, wa tatu mwenye koti ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bagamoyo Mh. Almasi Masukuzi, anaefuata ni Katibu wa CCM wilaya ya Bagamoyo Salum Kamote, na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Aliy Aliy Issah, na wapili kutoka Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze, Saidi Zikatimu.
 

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete, (kushoto) akisalimiana na Diwani wa kata ya Msoga, Mh. Hassan Rajabu Mwinyikondo wakati kabla ya kikao kuanza.

No comments:

Post a Comment