Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia leo asubuhi
alishiriki mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa Mkoa wa
Tabora, katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni
kutokana na kuwataka askari wa Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati wote .
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa amembeba Joshua mtoto wa
muumini wa kanisa la Siroham mkoani Tabora kabla ya uzinduzi wa zahanati ya
Polisi iliyojengwa kwa hisani ya kanisa hilo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto
akiangalia mmoja wa askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika mazoezi ya
utayari kupita juu ya kamba mkoani Tabora leo.
Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment