Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt Doto Biteko akimkabidhi Nakala ya Makubaliano kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda (MCC) jijini Dodoma Tarehe 07 February 2024.
DODOMA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt Doto Biteko amemkabidhi Nakala ya Makubaliano kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda (MCC) katika Hafla ya Utiaji Saini wa Makubaliano hayo.
Aidha, Mwenyekiti Chatanda alishiriki hafla hii kwa lengo la kuhakikisha UWT inakuwa mstari wa mbele katika kuchangia uwepo wa mazingira wezeshi ya kuwainua Wanawake Kiuchumi kuanzia katika utoaji elimu na hamasa kwa jamii.
UWT IMARA JESHI LA MAMA SAMIA KAZI IENDELEE.
No comments:
Post a Comment