VODACOM YAGAWA VYAKULA VYA MWEZI WA RAMADHANI KWA KAYA 100 BAGAMOYO.

Wafanyakazi wa kampuni ya VODACOM, wakigawa vyakula kwa wakazi wa mji wa Bagamoyo kwaajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, hafla ambayo ilifanyika katika viwanja vya Ikulu mjini Bagamoyo, kupitia taasisi ya jamii ya VODACOM TANZANIA FOUNDATION.
Wakazi wa mji wa Bagamoyo, wakifaidika na VODACOM TANZANIA FOUNDATION katika mgao wa vyakula uliofanywa na kampuni ya simu za mkononi ya VODACOM kuwakarimu waislamu wa mji wa Bagamoyo katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU