NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO BAGAMOYO.




Nyumba moja imeteketea kwa moto mtaa wa mianzini B kata ya Kisutu Bagamoyo mjini, ambapo vitu vyote vilivyokuwa ndani ya nyumba hiyo viliungua.

Wananchi walioshuhudia tukio walisema wakazi wa nyumba hiyo wote hawakuwepo wakati wa tukio na kwamba majirani ndio waliogundua moto huo.

Wameongeza kuwa, licha ya juhudi ya kuudhibiti moto huo hawakuweza kufanikiwa kwakuwa moto ulishika kasi.

Moto huo ulioanza majira ya saa nne asubuhi ya leo haikuweza kufahamika mara moja chanzo chake.
Kikosi cha zimamoto cha Bagamoyo kimefika eneo la tukio licha ya kuchelewa kupata taarifa waliweza kuudhibiti ili usiingie kwenye nyumba za jirani.

Mtoto wa mwenye nyumba hiyo Hassan Abdallaah Jumanne alisema vitu vyote vilivyokuwa ndani ya nyumba hiyo havikuweza kuokolewa na kwamba hasara iliyopatikana mara moja.

Comments

Popular posts from this blog

DC SHAKA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA KODI KILOSA

SILAHA 17 ZA MOTO ZASALIMISHWA TABORA

NDEJEMBI AAGIZA DAMPO LA PUGU LIBORESHWE.

SHAIBU NDEMANGA, ACHANGIA CEMENT 50 SHULE YA SIRAJULMUNIR BAGAMOYO.

MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.

MAKAMU WA RAIS AAGIZA HATUA ZA HARAKA KUJIANDAA KUKABILIANA NA ATHARI ZA MVUA ZA EL NIÑO

KIKWETE AITAKA TANZANIA NA JAPAN KUIMARISHA USHIRIKIANO WA CHAKULA NA UCHUMI WA BULUU

MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, UTOAJI WA TUZO ZA PYMA.