NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew,akimkabidhi Tuzo ya Mwandishi Bora wa Mwaka Mkoa wa Dodoma Augusta Njoji kutoka Gazeti la Nipashe kwa taarifa aliyotoa imeonyesha Jitihada binafsi iliyotolewa na Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Dodoma wakati wa tamasha la usiku wa Habari Dodoma lililoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Dodoma (CPC) .
No comments:
Post a Comment