Friday, October 13, 2017

RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KUTOKA SERIKALI YA OMAN



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi akifuatana na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi wa pili kulia) akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa  akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akibadilishana mawazo na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi baada ya mazungumzo na  Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

Picha na Ikulu


Wednesday, October 11, 2017

SITAHAMISHA MTUMISHI, NITATENGENEZA – WAZIRI JAFO



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo (katikati) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI mjini Dodoma (hawapopichani) mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Wizara hiyo, kulia ni Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Sinkamba Kandege pamoja na Naibu Waziri Mhe. George Joseph Kakunda.
................................


   NTEGHENJWA HOSSEAH – TAMISEMI, DODOMA

WaziriwaNchiOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaMhe. Selemani Said JaffoamesemahatahamishaMkuuwaIdarawalaKitengokatikaWizarahiilakiniatamtengeneza awe kamaanavyotakailiawezekuendananakasiyautendakajikaziwaSerikaliyaAwamuyaTano.
WaziriJaffoameyasemahayowakatiwakikaochakenaWatumishiwaOfisiyaRais -TAMISEMI marabaadayakuwasiliMakaoMakuuyaWizarahiiambapoaliambatananaManaibuWaziriwa OR-TAMISEMI .

WaziriJaffoalisemakuwa “Siwezikuhamishamatatizokutokaeneokwendalingine cha msinginikuhakikishatunamtengenezahapahapa awe kamatunavyotakakulingananamahitajiyetunaawezekuendananakasiyaSerikalihiisasahivikasiyetusioyakutembeabalinikukimbianalazimawotetwendapamoja”.
Aliongezakuwanahitaji  “Consistency of information” kutokakwawatalaamwanaofahamuvizurimaeneoyaoyakazisiokilasikuunahamishaunaanzanamtumpyanayeanakuwahanataarifazakutoshakuhusukazizaawalihivyoinachukuamudakuanzakwendasawakwangumiminasemantamnyooshayeyoteambayehaendaninaviwangovyanguakiwahapahapanasikwingineko”.
AidhaWaziriJaffoaliwataWatumishiwotekuachakufanyakazikwaulegevunakuwamakiniwakatiwotewakazikwanindioinayopelekakupataujirawako, kuachakufanyakazikwamazoeanakutoahuduma bora kwawananchi,  kutokujalimudahivyokutumiamudamrefukukamilishajukumuulilopewaamakutorudishamrejeshowakazinakutojali utu wawatuwengine.

“Natakanionekilamtumishiyuko “busy for something” ilituwezekuwasaidiaWananchiwetu, nakatikahilitutapimanammojammojakatikaeneo lake amefanyaninikwasiku, wiki, mwezimpakamwakanayeyemwenyeweatusaidiekujitathminikuonakamaanaumuhimuwowotekatikaeneolakamaLah”
WizarahiiniInjiniyamabadilikokatikaNchiyetuhivyosisilazimatuweWizara bora inayofanyakazizitakazoletachachuyaMaendeleokwamwanancHimmojammojanaTaifakwaujumla, hivyonitasughulikanawatumishiwotempakanionemnaendendakadiriyakasininayoitakailimabadilikochanyayawezekutokeaalisemawaziriJafo.
“SitakikuonamtuanashindaOfisiniWizarahiiniwatekelezajiwa Sera mbalimbalina Sera hizozinatekelezwakwenyeMamlakayaSerikalizaMitaanatakaniwaonemkiendakufuatiliautekelezajinakuhakikishamiradiyoteinatekelezwakwaviwangonawananchiwanapatastahikiyaoyahuduma bora tokakwenyemamlakazaserikalizamitaazilizokokwenyemaeneohayonasiokushindaOfisini” AliongezaMhe. Jafo.
AkizungumzawakatiwakikaohichoNaibuWaziriOR-TAMISEMIMhe. George Joseph Kakundaamesemaninachohitajitokakwawatumishiwa OR-TAMISEMI tufanyekazinatuipendeKazinakwapamojatuwezekuisimamiabajetiyaSerikaliambapoWizarahiitunapataasilimia 20.7 yabajetinzimayaTaifaletunilazimatuitendeehakikwasababuFedhazinakujakwetuninyingihiiinaonyeshaumuhimuwaWizarahiikwamaendeleoyataifa.
Amesisitiza mambo matatuanayoyahitajitokakwawatumishikuwani “clarity” kuwanauwezomkubwawakuelewaMajukumu, Sera, Sheria, Program, Miongozonakanunimbalimbalisambambanamazingirawezeshiyatakayomuwezamtumishikufanyakaziambayohayayatatengenezwanamwajiripamojakuwauwezowakufanyakaziulizopangiwabilakusimamiwa  “competency”.
NayenaibuWaziri OR-TAMISEMI Mhe. Joseph Sinkambakandegeninachohitajizaiditokakwenuniushirikianokwasababuhatakamamtuanawezakiasiganilazimaanahitajimsaadawamwingineiliawezekukamilishakaziyakevizurihakunanayewezapekeyakehizikazitunategemeananazaidiyahaponahitajiwatuwakwelinawaaminifuilituwezekufikiamalengoyapamoja.
Kikaohikinawatumishiwa TAMISEMI ni cha pilitangukuapishwakwaWaziriwaNchiOfisiyaRais –TAMISEMI Mhe. SelemaniJaffopamojanaManaibuWaziri wake Mhe. Mhe. Joseph SinkambakandegepamojanaMhe. George Joseph Kakunda.

TAMISEMI YA WANANCHI