Posts

TAMASHA LA USIKU WA HABARI DODOMA LAWEKA HISTORIA TUZO MBALIMBALI ZATOLEWA ,WAZINDUA KIKOBA,NAIBU WAZIRI ,RC,WADAU WATIA NENO

Image
  NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew,akimkabidhi Tuzo ya Mwandishi Bora wa Mwaka Mkoa wa Dodoma Augusta Njoji kutoka Gazeti la Nipashe kwa taarifa aliyotoa imeonyesha Jitihada binafsi iliyotolewa na Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Dodoma wakati wa  tamasha la usiku wa Habari Dodoma lililoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Dodoma (CPC) .

KAMATI YA UELIMISHAJI JAMII YATAMBULISHWA BAGAMOYO.

Image
  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo, Shauri Selenda, akizungumza wakati wa kuwatambulisha wajumbe wa Kamati ya Uhamasishaji, Ushirikishaji na Uelimishaji jamii, kuhusu magonjwa ya mlipuko uliofanyika leo Februari 15 , 2023.   katika Ukumbi wa Chuo cha unesi Bagamoyo.   Afisa Mipango wa huduma za Afya ngazi ya Jamii kutoka Wizara ya afya, Bahati Mwailafu, akizungumza na washiriki wakati wa Mkutano wa kuwatambulisha wajumbe wa Kamati ya Uhamasishaji, Ushirikishaji na Uelimishaji jamii, kuhusu magonjwa ya mlipuko uliofanyika leo Februari 15 , 2023. katika Ukumbi wa Chuo cha unesi Bagamoyo.   Washiriki wa Mkutano wa kuwatambulisha wajumbe wa Kamati ya Uhamasishaji, Ushirikishaji na Uelimishaji jamii, kuhusu magonjwa ya mlipuko uliofanyika leo Februari 15, 2023. katika Ukumbi wa Chuo cha unesi Bagamoyo.   Mratibu wa Elimu ya Afya kwa uma wilaya ya Bagamoyo, Jeni Mcharo, akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi mara baada ya kumalizika kwa   ...

KERO YA UPUNGUFU WA MAJI NA KUKATIKAKATIKA KWA UMEME,YAWACHOMA MADIWANI KIBAHA MJINI

Image
  Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha Upungufu wa Maji na kukatikakatika kwa Nishati ya Umeme ,imekuwa gumzo na kilio kwa Madiwani wa Kibaha Mjini katika baraza la madiwani ,na kudai ni kero ya muda mrefu iliyo na ukakasi kwenye ufumbuzi wake. Agustino Mdachi diwani wa Kata ya Pangani na Mohamedi Chamba diwani wa kata ya Viziwaziwa walisema kero ya Maji na Nishati ya Umeme imekuwa kero kubwa kwa wananchi hali inayoathiri utendaji kazi ,;muda mrefu wanatumia kutafuta Maji sanjali na kukatika  Umeme kukiathiri uzalishaji mali kwa wajasiliamali. Hoja hiyo imekuwa msumali wa moto baada ya kuungwa mkono na Madiwani wote na kuziaguza taasisi husika kushughulikia huduma hizo . Awali akiwasilisha hoja ya ziara ya Madiwani wa Viti maalum,Katibu wa Kamati hiyo Shufaa Mshana alisema ziara yao imebaini  vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia,Kero za miundombinu ya Barabara na Mikopo ya asilimia 10 ikishindwa kurudishwa kwa wakati na vikundi nufaika ambapo takribani kiasi cha Shilingi Bil...