Posts

MAGAZETI YA LEO TAREHE 20 NOVEMBA 2022

Image
 
WAZIRI MKENDA NA WAZIRI LELA MOHAMED WAONGOZA KIKAO CHA MAPITIO YA SERA NA MITAALA JIJINI DODOMA

Image
  Na Mathias Canal, WEST-Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prf Adolf Mkenda (Mb) pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Mohamed wameongoza Kikao cha kazi cha mapitio ya Sera na Mitaala. Akizungumza katika kikao hicho cha Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na timu za mapitio ya Sera na Mitaala ya Elimu katika ukumbi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi-Ndejengwa Jijini Dodoma leo tarehe 15 Novemba 2022, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknoojia Mhe Prof Adolf Mkenda amesema kuwa mapitio hayo yanahusisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwa na mtazamo wa pamoja katika sekta ya elimu. Waziri Mkenda amesema kuwa hatua za awali zimekamilika hivyo kwa sasa wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inajiandaa kwa ajili ya kumpitisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hatua zote zilizofikiwa kabla ya mkutano mkuu wa wadau wote wa sekta ya elimu kujadili mustakabali wa elimu ya Tanzania. Waziri Mk...

DC MALINYI ATOA MAELEKEZO SOMO LA EDK.

Image
Afisa Tarafa ya Malinyi Ms Rehema Rajabu, ambae amemwakilisha Mkuu wa wilaya ya Malinyi, akizungumza na walimu wa somo la dini ya Kiislam (EDK)Wilayani Malinyi. Rehema amewaomba walimu wa kiislam kujitoa kwa dhati kufundisha somo hilo ili kutengeneza maadili ya vijana. Mwandishi wetu, Malinyi Mkuu wa wilaya ya Malinyi mkoa wa Morogoro, Mathayo Masele, ametoa rai kwa walimu wa umma wenye uwezo wa kufundisha somo la elimu ya dini ya Kiislam (EDK) kufanya hivyo mara moja huku akisisitiza kuwa hakuna haja ya kuona haya, woga au hofu yeyote. Akizungumza katika semina ya walimu wa somo hilo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya, Afisa Tarafa ya Malinyi Ms Rehema Rajabu amesema haoni sababu ya walimu kuwa na hofu ya kufundisha elimu ya dini huku wakijua wazi kuwa kufanya hivyo sio kosa kisheria   “Nitashangaa sana kama bado wapo walimu wenye uwezo wa kufundisha somo hili lakini wanajificha kwa kuogopa watu, serikali inapenda kuona jamii inalelewa katika maadili mema na somo hili linajikit...

DKT. MPANGO ATAKA WASANII KUZINGATIA MAADILI YA TAIFA.

Image
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na washiriki mbalimbali wa Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo wakati wa ufunguzi wa Tamasha hilo linalofanyika katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) mkoani Pwani leo tarehe 11 Novemba 2022. ..............................................................   Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa watanzania wote hususan wasanii wa kizazi kipya, kuepuka kuiga kila tamaduni bila kuchuja wala kuzingatia maadili ya taifa.   Makamu wa Rais amesema hayo leo tarehe 11 Novemba 2022 wakati akifungua Tamasha la 41 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo linalofanyika katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) mkoani Pwani.   Ametoa rai kwa wasanii wa muziki na filamu kuhakikisha wanazingatia maadili na miongozo ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) pamoja n...